Ufafanuzi wa ushuhuda katika Kiswahili

ushuhuda

nominoPlural ushuhuda

Kidini
  • 1

    Kidini
    maneno yanayothibitisha na kueleza mambo yalivyokuwa.

    uthibitisho, ikirari, ushahidi

Asili

Kar

Matamshi

ushuhuda

/u∫uhuda/