Ufafanuzi wa ushupavu katika Kiswahili

ushupavu

nominoPlural ushupavu

  • 1

    hali ya kuwa mkakamavu; tabia ya kuwa imara.

    ghamidha

  • 2

    ukaidi

Matamshi

ushupavu

/u∫upavu/