Ufafanuzi wa ushuri katika Kiswahili

ushuri

nomino

  • 1

    sehemu moja ya kumi ya kitu kizima.

Asili

Kar

Matamshi

ushuri

/u∫uri/