Ufafanuzi wa ushuzi katika Kiswahili

ushuzi

nomino

  • 1

    hewa inayotoka wakati wa kujamba.

    ufusio

Matamshi

ushuzi

/u∫uzi/