Ufafanuzi wa usindikaji katika Kiswahili

usindikaji

nomino

  • 1

    tendo la kusaga na kukamua mbegu au tunda la mti au mmea fulani ili kutoa umajimaji uliomo katika kitu hicho.

Matamshi

usindikaji

/usindikaŹ„i/