Ufafanuzi wa usira katika Kiswahili

usira

nomino

  • 1

    dawa kama masizi au unga wa kuchanjia ambao hutokana na ngozi ya mnyama iliyochomwa na hutumika kwa kutengenezea hirizi ambayo hutumika kumkinga mtu na mnyama huyo.

Matamshi

usira

/usira/