Ufafanuzi wa usoshalisti katika Kiswahili

usoshalisti

nominoPlural usoshalisti

  • 1

    nadharia ya kisiasa na kiuchumi inayotaka njia kuu za uchumi zimilikiwe na umma au na taifa kwa manufaa ya jamii nzima.

Asili

Kng

Matamshi

usoshalisti

/usɔ∫alisti/