Ufafanuzi wa ustaarabu katika Kiswahili

ustaarabu

nominoPlural ustaarabu

  • 1

    hali ya mtu kuwa na vitendo, tabia na mwenendo unaolingana na maadili ya jamii inayohusika.

Asili

Kar

Matamshi

ustaarabu

/usta:rabu/