Ufafanuzi wa ustawi katika Kiswahili

ustawi

nominoPlural ustawi

  • 1

    hali ya neema, hasa kwa vitu vinavyokua.

  • 2

    hali ya kukua vizuri.

    ufanisi, mafanakio, fanaka, ghanima, baraka, heri

Asili

Kar

Matamshi

ustawi

/ustawi/