Ufafanuzi wa usu! katika Kiswahili

usu!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumika kwa maana ya ‘Acha kelele!’.

    nyamaza!

Matamshi

usu!

/usu/