Ufafanuzi wa usukani katika Kiswahili

usukani

nominoPlural sukani

  • 1

    mtambo unaotumiwa, agh. na dereva, kuongozea au kuendeshea chombo k.v. gari au meli.

Asili

Kar

Matamshi

usukani

/usukani/