Ufafanuzi wa usuluhishi katika Kiswahili

usuluhishi

nomino

  • 1

    upatanishaji wa watu waliogombana ili warudie hali ya kusikilizana.

Asili

Kar

Matamshi

usuluhishi

/usuluhi∫i/