Ufafanuzi wa usununu katika Kiswahili

usununu

nomino

  • 1

    hali ya ujeuri; tabia ya kiburi.

    ukimwa

Matamshi

usununu

/usununu/