Ufafanuzi wa ususuani katika Kiswahili

ususuani

nominoPlural ususuani

  • 1

    hali ya kutotetereka katika majaribio ya kidunia.

    ‘Roho isiyo ususuani’

Matamshi

ususuani

/ususuwani/