Ufafanuzi wa Uswahili katika Kiswahili

Uswahili

nomino

  • 1

    hali ya kuwa Mswahili.

    ‘Uswahili unamtoka kama amezaliwa nao’

Asili

Kar

Matamshi

Uswahili

/uswahili/