Ufafanuzi wa utaa katika Kiswahili

utaa

nominoPlural taa

  • 1

    kibanda au kijumba cha kuwekea akiba ya nafaka au kuni.

    uchaga, ghala

Matamshi

utaa

/uta:/