Ufafanuzi wa utaabishaji katika Kiswahili

utaabishaji

nominoPlural utaabishaji

  • 1

    hali au namna ya kutaabisha.

    utesaji, ukalifu, takilifu, usumbufu

Matamshi

utaabishaji

/uta:bi∫aʄi/