Ufafanuzi wa utafiti katika Kiswahili

utafiti

nominoPlural utafiti

  • 1

    uchunguzi wa kisayansi au kitaaluma ambao umelenga kugundua, kuvumbua, kufasiri, kuchanganua, au utumiaji wa maarifa mapya, nadharia au kanuni fulani.

    uchunguzi

Asili

Kar

Matamshi

utafiti

/utafiti/