Ufafanuzi wa utafutaji katika Kiswahili

utafutaji

nomino

  • 1

    tendo au namna ya kutafuta kitu fulani.

Matamshi

utafutaji

/utafutaŹ„i/