Ufafanuzi wa utago katika Kiswahili

utago

nominoPlural tago

  • 1

    nyasi zinazotumika kufanyia fagio.

Matamshi

utago

/utagɔ/