Ufafanuzi wa utaji katika Kiswahili

utaji

nominoPlural utaji

  • 1

    kitambaa, agh. cha rangi, kinachovaliwa kichwani na wanawake.

    dusumali

Asili

Kar

Matamshi

utaji

/utaʄi/