Ufafanuzi wa utajiri katika Kiswahili

utajiri

nominoPlural utajiri

  • 1

    hali ya kuwa na mali nyingi.

    ukwasi

Asili

Kar

Matamshi

utajiri

/utaʄiri/