Ufafanuzi wa utakaso katika Kiswahili

utakaso

nomino

  • 1

    Kidini
    hali ya kupata baraka za Mwenyezi Mungu ili kusafishwa dhambi.

  • 2

    hali ya kutakaswa.

Matamshi

utakaso

/utakasÉ”/