Ufafanuzi wa Utakiona cha mtema kuni katika Kiswahili

Utakiona cha mtema kuni

msemo

  • 1

    utaona miujiza au maajabu usiyoyatarajia.