Ufafanuzi wa Utakufa nacho kijiba cha moyo katika Kiswahili

Utakufa nacho kijiba cha moyo

msemo

  • 1

    utaendelea kuudhika, kuumia, kutopata utulivu wa moyo na kuwa na hisia zinazokusumbua kwa sababu ya kijicho, kinyongo au kuwaonea wivu wengine, mpaka ufe, nami yangu yananiendea.