Ufafanuzi msingi wa utambi katika Kiswahili

: utambi1utambi2

utambi1

nominoPlural tambi

 • 1

  kipande cha kitambaa au uzi kinachotumika kuwashia k.v. taa au kulipulia baruti.

  mjali

 • 2

  pamba itiwayo dawa na kutiwa kwenye kidonda cha jipu lililopasuliwa.

Matamshi

utambi

/utambi/

Ufafanuzi msingi wa utambi katika Kiswahili

: utambi1utambi2

utambi2

nominoPlural tambi

 • 1

  ngozi ya utumbo.

Matamshi

utambi

/utambi/