Ufafanuzi wa utamu katika Kiswahili

utamu

nominoPlural utamu

  • 1

    hali ya kunoga kwa kitu au mambo.

Matamshi

utamu

/utamu/