Ufafanuzi wa utanashati katika Kiswahili

utanashati

nomino

  • 1

    hali ya kuwa maridadi.

Asili

Kar

Matamshi

utanashati

/utana∫ati/