Ufafanuzi wa utandabui katika Kiswahili

utandabui

nominoPlural tandabui

  • 1

    nyuzi za buibui anazozieneza mahali kwa kuzitanda.

Matamshi

utandabui

/utandabuI/