Ufafanuzi wa utango katika Kiswahili

utango

nominoPlural utango

  • 1

    kibao katika mtumbwi au dau kinachotumika kuwa kiti.

Matamshi

utango

/utangɔ/