Ufafanuzi wa utapeli katika Kiswahili

utapeli

nomino

  • 1

    tendo la kulaghai watu ili kuwadhulumu haki zao.

Matamshi

utapeli

/utapɛli/