Ufafanuzi wa utari katika Kiswahili

utari

nominoPlural tari

  • 1

    Kibaharia
    kamba inayotumika kuvutia chombo kama kimekwama.

  • 2

    kamba ya chombo chochote.

Asili

Kar

Matamshi

utari

/utari/