Ufafanuzi wa utashi katika Kiswahili

utashi

nominoPlural utashi

  • 1

    hali ya kuwa na hamu ya kutaka; hiari ya kutenda.

Asili

Kar

Matamshi

utashi

/uta∫i/