Ufafanuzi msingi wa utata katika Kiswahili

: utata1utata2

utata1

nominoPlural utata, Plural tata

 • 1

  ugumu wa kutofahamika kwa kitu.

  ‘Chanzo cha ugonjwa wa UKIMWI bado kina utata’
  utatizaji

Matamshi

utata

/utata/

Ufafanuzi msingi wa utata katika Kiswahili

: utata1utata2

utata2

nominoPlural utata, Plural tata

 • 1

  uzi uotao chini ya ulimi wa mwanadamu ambao mtoto akiwa nao huwa hawezi kusema mpaka ukatwe.

  utasi

Matamshi

utata

/utata/