Ufafanuzi wa utawa katika Kiswahili

utawa

nominoPlural utawa

  • 1

    Kidini
    hali ya kukaa au kuishi maisha ya kidini na kuepuka raha za dunia.

    uwalii

  • 2

    hali ya kukaa nyumbani, agh. kwa wanawake.

Asili

Kar

Matamshi

utawa

/utawa/