Ufafanuzi wa utaya katika Kiswahili

utaya

nomino

  • 1

    mfupa ulioko kinywani unaobeba meno.

Matamshi

utaya

/utaja/