Ufafanuzi wa ute katika Kiswahili

ute

nominoPlural nyute

  • 1

    majimaji mazito yanayoteleza.

    udenda, denda

Matamshi

ute

/utɛ/