Ufafanuzi msingi wa uteja katika Kiswahili

: uteja1uteja2

uteja1

nominoPlural uteja

  • 1

    hali au tendo la kuwa mteja wa bidhaa au huduma fulani.

Matamshi

uteja

/utɛʄa/

Ufafanuzi msingi wa uteja katika Kiswahili

: uteja1uteja2

uteja2

nominoPlural uteja

  • 1

    tabia ya kutumia dawa za kulevya.

Matamshi

uteja

/utɛʄa/