Ufafanuzi wa utemaji katika Kiswahili

utemaji

nominoPlural utemaji

  • 1

    tabia au kitendo cha kutema mate.

  • 2

    tabia au jinsi ya kuchanja kuni.

Matamshi

utemaji

/utɛmaʄi/