Ufafanuzi wa utembeaji katika Kiswahili

utembeaji

nominoPlural utembeaji

  • 1

    namna ya kutembea.

Matamshi

utembeaji

/utɛmbɛjaʄi/