Ufafanuzi wa utembezi katika Kiswahili

utembezi

nominoPlural utembezi

  • 1

    hali ya kuzungukazunguka na kujifurahisha.

  • 2

    tabia ya uasherati.

Matamshi

utembezi

/utɛmbɛzi/