Ufafanuzi wa utengaji katika Kiswahili

utengaji

nominoPlural utengaji

  • 1

    namna au jinsi ya kuweka kando au kuweka mbalimbali.

Matamshi

utengaji

/utɛngaʄi/