Ufafanuzi wa utengamano katika Kiswahili

utengamano

nomino

  • 1

    hali ya amani na utulivu.

  • 2

    kuwepo kwa usawa.

Matamshi

utengamano

/utɛngamanɔ/