Ufafanuzi wa utengano katika Kiswahili

utengano

nominoPlural utengano

  • 1

    hali ya kukaa mbalimbali na bila ya kushirikiana.

    farakano

Matamshi

utengano

/utɛnganɔ/