Ufafanuzi wa utesaji katika Kiswahili

utesaji

nomino

  • 1

    namna au jinsi ya kufanya kiumbe apate maumivu.

    utaabishaji

Matamshi

utesaji

/utɛsaʄi/