Ufafanuzi wa utesi katika Kiswahili

utesi

nomino

  • 1

    maneno yasiyo na ukweli.

    uvumi, uhasama, daawa

Matamshi

utesi

/utɛsi/