Ufafanuzi wa utiko katika Kiswahili

utiko

nominoPlural tiko

  • 1

    mgongo wa paa la nyumba.

    mwitiko

Matamshi

utiko

/utikɔ/