Ufafanuzi wa utimilifu katika Kiswahili

utimilifu

nomino

  • 1

    ukamilisho wa jambo.

    ukamilifu

Asili

Kar

Matamshi

utimilifu

/utimilifu/