Ufafanuzi msingi wa utitiri katika Kiswahili

: utitiri1utitiri2

utitiri1

nomino

  • 1

    wadudu wadogo wa jamii ya chawa ambao huishi kwenye miili ya kuku.

Matamshi

utitiri

/utitiri/

Ufafanuzi msingi wa utitiri katika Kiswahili

: utitiri1utitiri2

utitiri2

nomino

  • 1

    wingi wa vitu au watu; watu wengi.

    ‘Utitiri wa vyama’

Matamshi

utitiri

/utitiri/