Ufafanuzi wa utohozi katika Kiswahili

utohozi

nominoPlural utohozi

  • 1

    utaratibu wa uundaji wa istilahi kwa kuyabadili maumbo ya maneno yaliyokopwa kutoka lugha chanzo ili yalingane na kuooana na fonolojia ya lugha lengwa.

Matamshi

utohozi

/utɔhɔzi/